
MAZAO BORA DAIMA
PATA MATOKEO MAKUBWA KWA KUTUMIA MBOLEA ASILIA ,VUNA ZAIDI NA ZAIDI
UKIWA NA MBOLEA HII
IJUE MBOLEA HII
Mbolea hii ni Kirutubisho bora asilia cha Mimea kisicho na kemikali ,Imetengenezwa kwa magome ya miti na kinyesi cha ndege,mbolea hii inasaidia uimarishaji wa mazao yako katika hali ya majira yoyote pia huongeza uzalishaji wa mazao kwa ubora wa hali ya juu, kwa kilimo chochote. Kirutubisho hichi ni asilia kina sifa kutoka kwa wakulima wote duniani ambacho kitaongeza mazao yako zaidi ya mara tatu ya unayoweza kupata kutoka kwa mbolea zingine za kemikali.
FAIDA CHACHE ZA KUTUMIA MBOLEA YETU KWENYE KILIMO
Inaongeza wingi wa mazao(Utavuna mara 2-3 ya ulicho kuwa unavuna mwanzo)
Inaongeza ubora wa mazao hivyo utapata mazao yenye (ukubwa mzuri,uzito,ladha na rangi nzuri)
Inaongeza unyevuunyevu shambani
Inakuza mimea kwa haraka
Itakupunguzia gharama za pembejeo
Mbolea hii pekee inatosha kwa kila lita 1 utachanganya na 1cc ya mbolea
Inarudisha rutuba asilia iliyopotea kwa kutumia mbolea za chumvichumvi
TAZAMA UFANISI WA MBOLEA HII ASILIA




Kwa kila Lita 1 ya maji utachanganya na mbolea 1cc
Yaani kama pampu yako ina ujazo wa Lita 16 utachanganya na mbolea 16cc , kama ina Lita 20 utachanganya na mbolea 20cc
INATUMIKA MISIMU YOTE
1.KIANGAZI (UTAPIGA MARA MOJA BAADA YA SIKU SABA
2.MASIKA ,UTAPIGA MARA MOJA BAADA YA SIKU 14
LEO NAKUPATIA PUNGUZO KUBWA KWA TSH 150,000 ,UTAJIPATIA LITA TANO YA MBOLEA YETU
Tunapatikana Moshi Mjini ,Mbolea hii utaipata popote pale ulipo ,tufanya delivery mikoa yote Tanzania
wasiliana nasi leo tukuhudumie
WEKA ODA YAKO LEO
DUMU LA LITA TANO ,UTAPATA KWA TSH 150,000/= TU
WEKA ODA MAPEMA MUDA UNAISHA
NAFASI ZA UWAKALA WA MBOLEA HII ZINAPATIKANA PIA
KAMA UNATAMANI KUWA WAKALA WA MBOLEA ,UNAKARIBISHWA
NAFASI BADO ZIPO WAHI MAPEMA ,MIKOA YOTE TANZANIA HUDUMA HII INAKUFIKIA
KUWA WAKALA WA BIDHAA HII UPATE FAIDA KUBWA BONYEZA BATANI NYEKUNDU
HAPO CHINI πππ

@MAZAO BORA DAIMA @2025
PIGA SIMU
0755880332